Rapper kutoka kundi la Weusi Nick wa pili amesema anatarajia kurudi chuo kuchukua PhD, Mwaka jana Nicki wa pili alifanikiwa kuchukua Master na kuwa kati ya A-list ya wasanii wa Tanzania wenye Kisomo cha kuridhisha lakini mweusi huyu anaonekana kutoridhika bado baada ya kuonesha nia ya kurudi tena chuo ili kuchukua PhD ,
Rapper wa ngoma ya "sitaki kazi" alipokua akizungumza na kipindi cha
XXL cha clouds fm Nick wa pili alifunguka kuwa Tayari ameapply na amepata nafasi chuo kikuu cha Dar es salaam na week ijayo anaanza registration, alipoulizwa kuhusu Music alijibu kuwa kwasasa ameshakua na Mashabiki wake wataendelea kupata vitu vikali kama kawaida.

WE WISH YOU ALL THE BEST NICK WA PILI
No comments:
Post a Comment