Pages

Tuesday, October 28, 2014

Orodha ya wachezaji 23 wanaowania tuzo ya mchezaji bora ya Fifa Ballon d'O Hii Hapa

Orodha ya wachezaji 23 wanaowania tuzo ya mchezaji bora ya Fifa Ballon d'Or imetoka. Mchujo wa kupata wachezaji watatu utafanyika mwezi Disemba na mshindi kutangazwa Januari 12 2015.

Orodha yenyewe na timu wanazochezea: Gareth Bale (Wales, Real Madrid), Karim Benzema (France, Real Madrid), Diego Costa (Spain, Chelsea), Thibaut 

Courtois (Belgium, Chelsea), Cristiano Ronaldo (Portugal, Real Madrid), Angel Di Maria (Argentina, Manchester United), Mario Gotze (Germany, Bayern Munich), Eden Hazard (Belgium, Chelsea), Zlatan Ibrahimovic (Sweden, Paris St-Germain), Andres Iniesta (Spain, Barcelona), Toni Kroos (Germany, Real Madrid), Philipp Lahm (Germany, Bayern Munich), Javier Mascherano (Argentina, Barcelona), Lionel Messi (Argentina, Barcelona), Thomas Muller (Germany, Bayern Munich), Manuel Neuer (Germany, Bayern Munich), Neymar (Brazil, Barcelona), Paul Pogba (France, Juventus), Sergio Ramos (Spain, Real Madrid), Arjen Robben (Netherlands, Bayern Munich), James Rodriguez (Colombia, Real Madrid), Bastian Schweinsteiger (Germany, Bayern Munich), Yaya Toure (Ivory Coast, Manchester City).

No comments:

Post a Comment