Waombolezaji wakiwa wamebeba Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Meja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) Marehemu Muhiddini Kimario katika makaburi ya manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mazishi Jumamosi Oktoka 11, 2014.

Waombolezaji wakiwa wamebeba Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Meja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) Muhiddini Kimario katika makaburi ya manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mazishi Jumamosi Oktoka 11, 2014.

Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Jakaya Kikwete akiwasili kwenye mazishi ya la Meja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) Muhidini Kimario katika makaburi ya manispaa ya Moshi. Kulia kwake ni Meja Jenerali Ezekiel Kyunga, aliyemwakilisha Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange ambaye yuko nje ya nchi. Kushoto kwa Rais ni Brigedia Jenerali Amos Martin Kemwaga

Rais Kikwete akitoa pole kwa mtoto wa marehemu

Rais Kikwete akitoa pole kwa mtoto wa marehemu

Rais Kikwete akitoa pole kwa mtoto wa marehemu

Bendi ya JWTZ ikiongoza msafara kuelekea kaburini

Askari wa JWTZ wakiwasili makaburini

Ma-Meja wakiwa wamebeba Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Meja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) huku wakisindikizwa Ma-Kanalki wakiwasili makaburini.

Jeneza likipelekwa kaburini tayari kwa mazishi
Askari wa JWTZ wakiwa tayari kutoa heshima za mwisho za Kijeshi pembeni mwa kaburi
Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Meja Jenerali mstaafu Muhiddin Mfaume Kimario likikabidhiwa viongozi wa dini kwa mazishi kabla ya shughuli za kuagwa kijeshi hazijaanza
Sehemu ya waombolezaji
Waombolezaji katika mazishi
Umati mkubwa wa wananchi wa manispaa ya Moshi na sehemu zingine wakiwa katika mazishi
Mazishi
Sehemu ya wanahabari kwenye mazishi. Wa tatu toka kulia ni Dixon Busagaga, mwakilishi wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini
Brigedia Jenerali Ibrahim Kimario akiweka udongo kaburini
Dua baada ya maziko

Watoto wa marehemu na ndugu wengine wa karibu

Baada ya ndugu wakiongozwa na viongozi wa dini kumaliza maziko, Askari wa JWTZ walichukua nafasi yao kuaga kwa heshima zote za kijeshi ikiwa ni pamoja na kupigwa mizinga

Rais kikwete akiwa na Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Dkt Msengi na Meja Jenerali Ezekiel Kyunga, mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange

Askari akitoa ishara wakati wa kupigwa mizinga

"Last Post" ikipigwa

Meja Jenerali Ezekiel Kyunga, Mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi jenerali Davis Mwamunyange akisoma salamu za rambirambi za JWTZ

Rais Kikwete akiwa na Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya

Meja Jenerali Ezekiel Kyunga, Mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi, akikabidhi salamu za rambirambi kwa mtoto wa marehemu

Mtoto wa marehemu Mfaume Kimario akitoa shukurani

Watoto wa marehemu wakifarijiana

Rais Kikwete akiwafariji watoto wa marehemu

Rais Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu

Rais Kikwete akimfariji mjane wa marehemu

Rais Kikwete akiwafariji familia ya marehemu

Rais Kikwete akitoa pole kwa familia

Rais Kikwete akiaga waombolezaji

Rais Kikwete akiagana na waombolezaji

Rais Kikwete akiongea na Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdulrahman Kinana na Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndg Nape Nnauye wakati akiwa anaondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro

Rais Kikwete akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mhe. Novatus Makunga kabla ya kuondoka kurejea Dar es salaam. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment