Pages

Friday, October 3, 2014

TANZIA::MANISPAA YA KINONDONI INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MH. DIWANI WA KATA YA KINONDONI Mh. Husna Hemedi

Historia fupi ya Marehemu
Marehemu Bi Husna Hemed amekuwa Diwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni tangu mwaka 2005 ambapo alikuwa Diwani wa Vito Maalum. Mwaka 2010 mwezi Oktoba alichaguliwa kuwa Diwani wa Kata ya Kinondoni hadi mauti yalipomfika katika Hospitali ya AMI Masaki Jijini alikopelekwa jana kwa matibabu.
Marehemu Mheshimiwa Bi Husna anatarajiwa 


kuzikwa kesho tarehe 4 Oktoba, 2014 saa 7.00 mchana.

Mazishi yapo nyumbani kwake Mtaa wa Bi Husna Kinondoni Block 41

No comments:

Post a Comment