Jamaa anayedaiwa Tapeli akilia kwa uchunguuu kwa maumivu ya kukatwa sikio
Akivutwa na Raia
Nimekutana na hiki kisanga cha huyu mtuhumiwa ambae anadaiwa
ni tapeli wa maduka ya vifaa vya ujenzi hapa segerea karibu na stand kuu ya
daladala kama unatokea kinyerezi. Nimekuta barabara imefunga ndo kuuliza kuna nini
naambiwa kuna tapeli kawekwa chini na wameshamkata sikio la kushoto. Mtuhumiwa
anadai ametumwa na boss wake pale dukani kwani yeye ni fundi. Nilijitahidi ili
wampeleke polisi ili ukweli ujulikane na wakaamua kumpeleka kwa kutumia isuzu
carry aka kirikuu. Ila alikuwa na hirizi.Picha na Godfrey Masongo
No comments:
Post a Comment