Na Mohamedi Mtoi
Mwenyekiti Taifa amefanya mikutano mitano kwenye majimbo
matatu ya Ulanga Magharibi, Ulanga Mashariki na Kilombero.
Mikutano yote ilikuwa mikubwa sana na yenye hamasa kubwa
huku wenyeviti saba wa CCM wa vijiji kwenye jimbo la Ulanga Mashariki
wakirudisha kadi
za CCM na kujiunga na CHADEMA na kuahidi kuongeza nguvu zaidi
kwenye Operation Delete CCM ambapo watasaidia wagombea watakao simamishwa na
Chadema pamoja na vyama vingine vya UKAWA.
Ziara za chama ndio zimeanza rasmi na zitakuwa endelevu bila
kukoma mpaka 2015
No comments:
Post a Comment