Chameleone amesema kuwa application ya Mziiki ambayo Diamond
ni balozi wake wa Tanzania ipo kwenye mazungumzo naye ili kumfanya balozi wake
wa Uganda na hivyo ilimuomba afanye wimbo na Diamond kama anthem ya Afrika
Mashariki.
“Lakini we talked about business na hatujamalizana nao.
Lakini sio eti mimi nimempigia (Diamond) kumuomba tufanye collabo na kitu kama
hicho,” amesema Chameleone. “Wale wa Mziiki app ndo
wanahitaji mimi na yeye
tufanye kazi ya anthem ya Mziiki app. Wanajaribu kuunganisha yeye na mimi
tufanye collaboration lakini sio eti mimi nimemu whatsapp na nimemuomba
collaboration , that’s not right,”
No comments:
Post a Comment