Pages

Wednesday, November 19, 2014

DARAJA LA KISASA KUJENGWA BAHARINI ENEO LA AGHA KHAN HADI BARABARA YA KENYATTA


Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akionesha sehemu ambazo daraja hilo jipya litakapojengwa pembezoni mwa daraja Selander kuanzia hospitali ya Aghakan hadi barabara Kenyata. Sehemu ya Daraja hilo pekee litakuwa na urefu wa km 1.03
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile akiwa na ujumbe kutoka Serikali ya Korea Kusini pamoja na Wizara ya Ujenzi mara baada ya kusaini Mkataba wa Muhtasari wa Majadiliano leo jijini Dar es Salaam.
                                                                                                                                                                                       
                                                                           
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile kulia akimshukuru Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli mara baada ya hafla ya utiaji sahihi wa Muhtasari wa Majadiliano.
Tukio la utiaji sahihi likiendelea kama inavyoonekana pichani.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Eng. Patrick Mfugale akionesha mchoro wa nguzo kubwa za daraja hilo litakalopita baharini pembezoni mwa daraja la Selander huku Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe wakifatilia kwa makini.
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akifafanua kuhusu ujenzi wa daraja hilo. Picha kwa Hisani ya Kitengo cha Mawasiliano Serikalini (GCU) Wizara

No comments:

Post a Comment