Pages

Sunday, November 30, 2014

Hivi Ndivyo Diamond Platnumz( @diamondplatnumz ) Alivyochukua Tuzo zake CHOAMVA14

http://photos-a.ak.instagram.com/hphotos-ak-xfp1/10787845_1541192129500208_1959913475_n.jpgKiukweli, haikuwa rahisi kabisa.. lakini kwa uwezo wa Mwenyez Mungu na support kubwa mliyonipa iliwezesha Bongo Flavour yetu kuandika Historia mpya kwenye Ramani ya mziki wa Africa...Hii inaonyesha ni jinsi gani Umoja ni nguvu na pia jins gani mziki wetu ukisupportiwa na kupewa kipaumbele unaweza kufika mbali zaidi... Shukran sana kwa @channeloafrica @channelotv kwa kuniona na kuthamini kipaji changu, My Family, Management, Media zote zilizokuwa zikinisupport, Watangazaji, Wasanii, Wadau na bila kuwasahau wapendwa wangu #TeamWasafi #TeamChibu #TeamPlatnumz #TeaMMondi toka instagram, Facebook, Whatsapp, Twitter na kadharika, wakiongozwa na kamanda langu @kifesi ... Nawashkuruni sana sana 😓😟...najua nikiwatag mimi wenda nikasahau mmoja, tafadhali naomba nisaidieni kuwatag hapa waweze kuona shukran zangu kwao...
Kiukweli, haikuwa rahisi kabisa.. lakini kwa uwezo wa Mwenyez Mungu na support kubwa mliyonipa iliwezesha Bongo Flavour yetu kuandika Historia mpya kwenye Ramani ya mziki wa Africa...Hii inaonyesha ni jinsi gani Umoja ni nguvu na pia jins gani mziki wetu ukisupportiwa na kupewa kipaumbele unaweza kufika mbali zaidi... Shukran sana kwa @channeloafrica @channelotv kwa kuniona na kuthamini kipaji changu, My Family, Management, Media zote zilizokuwa zikinisupport, Watangazaji, Wasanii, Wadau na bila kuwasahau wapendwa wangu  #TeamWasafi #TeamChibu #TeamPlatnumz #TeaMMondi toka instagram, Facebook, Whatsapp, Twitter na kadharika, wakiongozwa na kamanda langu @kifesi ... Nawashkuruni sana sana 😓😟...najua nikiwatag mimi wenda nikasahau mmoja, tafadhali naomba nisaidieni kuwatag hapa waweze kuona shukran zangu kwao....
A photo posted by Chibu Dangote..😷 (@diamondplatnumz) on
http://photos-h.ak.instagram.com/hphotos-ak-xfp1/10808545_972772782750343_1500632176_n.jpg


A video posted by VeeMoney (@vanessamdee) on





No comments:

Post a Comment