Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, November 13, 2014

KIBAKA ACHOMWA MOTO AKIIBA MALI ZA ABIRIA BAADA YA AJALI KAHAMA

Kibaka baada ya kuchomwa moto.
Wananchi wakishuhudia kibaka akichomwa moto.
KIJANA mmoja ambaye bado hajafahamika jina lake anayedaiwa kuwa kibaka ameuawa kwa kuchomwa moto wakati akiwaibia abiria walipata ajali na basi la Wibonela leo asubuhi maeneo ya kona ya Phantom, Kahama.
 
Kibaka huyo ameuawa na watu wenye hasira kali waliofika eneo la ajali kutoa msaada kwa abiria. PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 

No comments:

Post a Comment