kuona tunakosa msaada ndio tukaamua kuja ITV ili watusaidie, kwa hiyo yeye mwenyewe akaanza kupata presha kwa sababu presha alikuwa hana mpaka anapanga kusafiri alikuwa hana presha nilimpima vipimo vyote alikuwa hana tatizo lolote…”
Dada wa marehemu amesema; “..Ethiopia walitusaidia kwa kweli
mpaka hatua ya mwisho na Jumapili kama Mungu angemuweka hai Ethiopia
wangemsafirisha, na mashirika ya Ndege mengine yalitakiwa yatuelekeze hivi,
lakini sasa kutokana na ile hali mara leo kapelekwa kesho anarudishwa mdogo wangu
kesho kutwa kapelekwa amerudishwa mdogo wangu, msongo wa mawazo umemkaa rohoni
anashindwa kuongea maskini ya Mungu, mawazo paka yamemfanya mdogo wangu alikuwa
hana presha paka presha imekuja paka mdogo wangu anafariki.
Baba wa Sande amesema; “…wakatumia sheria ya pili ya
kunihusisha mimi wakaniambia bwana kumbe mtu huyu ni mkubwa sana tunatakiwa
tuvunje viti tumbebe, nikawauliza nikulipeni bei gani? wakaniambia tulipe dola
elfu saba mia tano na thelathini na nne, na mara ya kwanza tulilipa dola elfu
sita miambili ishirini…”
Bado haijafahamika kama Shirika hilo la ndege litarudisha
hela ambayo ililipwa na watu hao kwa ajili ya kumsafirisha ndugu yao.
No comments:
Post a Comment