skip to main |
skip to sidebar
MKURUGENZI WA MAKOSA YA JINAI (DCI) ISAYA MNGULU ASTAAFU, KAMANDA WA ZAMANI WA MBEYA AKAIMU
Aliekuwa Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu.Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu amestaafu leo baada ya kufikia kikomo cha umri kisheria (zaidi ya miaka 60). Kwa sasa nafasi yake amekaimu, Kamanda Diwani Athumani aliyewahi kuiwa Kamanda Mkuu wa Polisi Mkoa wa Mbeya.
Kamanda Diwani Athumani aliyewahi kuwa Kamanda Mkuu wa Polisi Mkoa wa Mbeya.Msemaji wa jeshi la polisi nchini, Advela Senso amethibitisha taarifa hiyo ambapo kwa sasa Kamanda Diwani atakaimu nafasi hiyo hadi pale jeshi litakapotangaza rasmi.
No comments:
Post a Comment