MRISHO NGASSA AFUNGA NDOA YA PILI NA LADHIA JIJINI DAR ..Tazama picha
Mshambuliaji
wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Ngassa baada ya kufunga ndoa na
Ladhia Mngazija Tegeta mjini Dar es Salaam leo. Hii ni ndoa ya pili kwa
mchezaji huyo wa Yanga SC, ambaye anaoa baada ya kuachana na mkewe wa
awali.
No comments:
Post a Comment