Rapper wa kundi la Chamber Squad, Dark Master, amejichora tatoo yenye majina ya marehemu Ngwair na Geez Mabovu.Dark Master alikuwa mtu wa karibu na rappers hao na amedai kuwa misiba hiyo miwili ni pigo kubwa kwake. Na hivi karibuni rapper huyo alidai kuwa ameamua kuokoka akimaanisha kuacha kunywa pombe na kuvuta sigara.
Dkt. Pallangyo Awasihi Wahitimu wa AKU Kuwa Wabunifu na Wenye Maono
-
CHUO Kikuu cha Aga Khan (AKU) kimefanya mahafali 20 kwa mwaka wa masomo
2024/2025, ambapo wahitimu 71 kutoka fani mbalimbali wamepokea shahada za...
11 hours ago
No comments:
Post a Comment