Rapper wa kundi la Chamber Squad, Dark Master, amejichora tatoo yenye majina ya marehemu Ngwair na Geez Mabovu.Dark Master alikuwa mtu wa karibu na rappers hao na amedai kuwa misiba hiyo miwili ni pigo kubwa kwake. Na hivi karibuni rapper huyo alidai kuwa ameamua kuokoka akimaanisha kuacha kunywa pombe na kuvuta sigara.
No comments:
Post a Comment