NHIF KUHAMASISHWA WANANCHI KUJIUNGA NA MFUKO HUO KATIKA HALMASHAURI 54 NCHINI
Kaimu
Mkurugenzi mkuu na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mfuko wa
Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Beatus Chijumba akizungumza na waandishi
wa habari leo kwenye makao makuu ya shirika hilo wakati alipotangaza
kampeni ya siku 60 kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kujiuga na Mfuko wa
Bima ya Afya katika Halmashauri zipatazo 54 nchini Katikati ni
Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti na mwisho ni Ali Othman
Mkuu wa kitengo cha Mifumo ya Mawasiliano.
No comments:
Post a Comment