Tone
Multimedia Group Kupitia Mtandao wetu wa Mbeya yetu Blog tumeadhimia
kuanza kuwasaidia wasanii Chipukizi kutoka Mkoa wa Mbeya na Mikoa
mingine ya Jirani kimuziki kwa Kutambulisha kazi zao mbalimbali ili
wadau pia mpate kuwafahamu.
Wimbo wake huu mpya kabisa unaitwa Kumbe Mapenzi.
Tunaanza
Kumtambulisha kwenu Msanii wa nyimbo za kizazi kipya yaani Bongo Flava
kwa jina lake halisi ni Shuku na jina la kisanii anaitwa SJ kijana
ambaye yupo chini ya Mdhamini wake Mkuu Jacob Mwaisango ambaye aliona
kipaji chake na kuamua kumsaidia kwa Hali na mali mpaka akaingia Studio
na kutoa nyimbo kadhaa. Lakini leo Mbeya Yetu Blog Tunawatambulisha kazi
hii ya kijana huyu ambaye tumeamua kumdhamini na kumsaidia Muziki wake
ufike mbali zaidi.
No comments:
Post a Comment