PICHA 5 ZA DIAMOND PLATNUMZ AKIWA FUKWE ZA BAHARI YA ATLANTIC UJANUA NINI KINAENDELEA HUKO?
Diamond Platnumz ameamua kusafiri hadi jijini Cape Town,
Afrika Kusini kwenda kushoot video ya wimbo alioshirikishwa na msanii wa
Nigeria, Waje. Diamond na Waje Video hiyo imefanyika kakita fukwe za bahari ya
Atlantic jijini Cape Town
No comments:
Post a Comment