Pages

Saturday, November 1, 2014

PICHA KIBAKA ANAYEDAIWA KUIBA BODABODA ADAKWA NA KUPEWA KIPIGO CHA MAANA

 Kibaka huyo akiomba msamaha baa

da ya kupokea kichapo kutoka kwa kundi la wananchi waliofulika kwenye ukumbi huo.
Kijana mmoja anayesadikiwa kuwa kibaka  amepokea kichapo kutoka kwa wananchi wenye hasira baada ya kibaka huyo kukamatwa nakijaribu kuiba boda boda .
 Mabausa wa ukumbi huo wakimtoa nje kibaka akiwa na Pingu mkononi

 

No comments:

Post a Comment