Kufuzu kwa Ivory Coast kucheza fainali za Africa mwakani kumegubikwa na tukio la mashabiki wa nchini humo kuvamia uwanja kwa furaha baada ya kumalizika mchezo huo dhidi ya Cameroon uliomalizika kwa sare 0-0 huko Abidjan.
Benki ya CRDB Yatunukiwa Tuzo za 'Benki Bora' na 'Benki Salama' Tanzania na
Jarida la Global Finance
-
*Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto),
akipokea tuzo ya 'Benki Bora Tanzania' kutoka kwa Joseph Giarraputo,
Mwanzilishi na M...
10 hours ago
No comments:
Post a Comment