Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, November 11, 2014

PICHA ZA FREEMAN MBOWE KWENYE MIKUTANO YAKE UYUI,SIKONGE NA TABORA

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia mamia ya wananchi wa mji wa Sikonge mkoani Tabora,katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mission juzi.
 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Kigwa wilayani Uyui mkoani Tabora, katika mkutano wa Oparesheni Delete CCM juzi.




Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwapungia mkono wananchi wa Sikonge mkoani Tabora, mara baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mission juzi.



No comments:

Post a Comment