Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Freeman Mbowe akiwahutubia mamia ya wananchi wa mji wa Sikonge
mkoani Tabora,katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM,
uliofanyika kwenye Uwanja wa Mission juzi.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Freeman Mbowe akiwapungia mkono wananchi wa Sikonge mkoani Tabora,
mara baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM,
uliofanyika kwenye Uwanja wa Mission juzi.
No comments:
Post a Comment