Pages

Tuesday, November 11, 2014

PICHA::Mbunge wa Mbeya Vijijini Mh.Mchungaji Luckson Mwanjale alipoanguka ghafla bungeni jana


Mbunge wa Mbeya Vijijini Mh.Mchungaji Luckson Mwanjale akiwa amebebwa na wahudumu wa afya baada ya kudondoka ndani ya Jengo la Ukumbi wa Bunge Jana mchana. Chanzo cha kuanguka kwake huko bado hakijafahamika na sasa yuko kwenye uangalizi wa madaktari kwa uchunguzi zaidi.Taarifa zaidi tutatoa kadri zitavyotufikia.
Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii kanda ya kati.

No comments:

Post a Comment