Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, November 14, 2014

PICHA:::MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE AFANYA MKUTANO WA MWISHO MKOANI KIGOMA

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Buhingwe katika mkutano wa hadhara wa Operesheni Delete CCM, uliofanyika juzi.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), akiwahutubia wananchi wa Kasulu katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika juzi. 






  Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Freeman Mbowe akilakiwa na wanawake wa kijiji cha Mwamugongo mkoani Kigoma, ambako waliwasili juzi kuhutubia mkutano wa Operesheni Delete CCM.
 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiondoka katika kijiji cha Buhigwe mkoani Kigoma, baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara wa Operesheni Delete CCM, uliofanyika kijijini hapo juzi.
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Zanzibar), Salumu Mwalimu akiwahutubia wananchi wa mji wa Kasulu mkoani Kigoma, katika mkutano wa hadhara wa Operesheni Delete CCM juzi.

No comments:

Post a Comment