Mwenyekiti wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi
wa kijiji cha Buhingwe katika mkutano wa hadhara wa Operesheni Delete
CCM, uliofanyika juzi.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), akiwahutubia wananchi wa Kasulu katika mkutano wa hadhara wa
Oparesheni Delete CCM, uliofanyika juzi.
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Freeman Mbowe akilakiwa
na wanawake wa kijiji cha Mwamugongo mkoani Kigoma, ambako waliwasili
juzi kuhutubia mkutano wa Operesheni Delete CCM.
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiondoka
katika kijiji cha Buhigwe mkoani Kigoma, baada ya kuhutubia mkutano wa
hadhara wa Operesheni Delete CCM, uliofanyika kijijini hapo juzi.
Naibu
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Zanzibar), Salumu
Mwalimu akiwahutubia wananchi wa mji wa Kasulu mkoani Kigoma, katika
mkutano wa hadhara wa Operesheni Delete CCM juzi.
No comments:
Post a Comment