Pages

Friday, November 7, 2014

RAIS KIKWETE AAPISHA MAKATIBU WAKUU, MABALOZI NA MAKATIBU TAWALA WAPYA IKULU JIJINI DAR


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Samwel William Shellukindo kuwa Balozi na Msaidi wa Rais Masuala ya Diplomasia janaIkulu jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe John Vianney Mongella kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera janaIkulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Halima Omary Denengo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara janaIkulu jijini Dar es salaam.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Dkt Ibrahim Hamisi Msangi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi jana Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akumuapisha na kumpa vitendea kazi Dkt Yohana Budeba kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi ikulu jijini Dar es salaam jana Novemba 6, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akumuapisha na kumpa vitendea kazi Injinia Mbogo Futakamba kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji ikulu jijini Dar es salaam jana Novemba 6, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akumuapisha na kumpa vitendea kazi Dkt Donan Mmbando kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Ikulu jijini Dar es salaam jana Novemba 6, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akumuapisha na kumpa vitendea kazi Mhe Jack Mugendi Zoka kuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada Ikulu jijini Dar es salaam jana Novemba 6, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akumuapisha na kumpa vitendea kazi Mhe Charles Pallangyo kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Geita Ikulu jijini Dar es salaam jana Novemba 6, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akumuapisha na kumpa vitendea kazi Bw, Adoh Stephen Mapunda kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Ikulu jijini Dar es salaam jana Novemba 6, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakiwa katika picha ya pamoja na Makatibu wakuu na Makatibu Tawala wa Mikoa wapya baada ya kuwaapisha Ikulu jijini Dar es salaam jana.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Balozi mpya wa Tanzania Nchini Canada Mhe. Jack Mugendi Zoka (wa pili kushoto), pamoja na mabalozi wengine kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ambao ni  kutoka kushoto Balozi Joseph Sokoine (Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika). Balozi Yahaya Simba (Mkurugenzi idara ya Mashariki ya Kati na Balozi Celestine Mushi, Mkurugenzi wa Idara ya Uhusiano wa Kimataifa.

No comments:

Post a Comment