Pages

Thursday, November 27, 2014

SALUM MWALIMU AONGOZA OPERESHENI DELETE CCM, YAZAMA VIJIJINI RUKWA



 Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Salum Mwalimu i akihutubia wananchi wa Kijiji cha Kaoze, kilichopo mwambao wa Ziwa Tanganyika, mkoani Rukwa wakati alipowasili kijijni hapo kuendelea na ziara ya siku 5 katika vijiji mbalimbali mkoani humo ukiwa ni mwendelezo wa  ziara iliyopewa jina la Operesheni Delete CCM


Ziara ya Operesheni Delete CCM ikiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Salum Mwalimu inaendelea mkoani Rukwa kwa siku 5, kuanzia jana Jumatano. Kuanzia baadhi ya vijiji vya mkoani Singida na Manyara yote, mwishoni mwa wiki iliyopita, msafara unatumia magari (ardhini) baada ya chopa kupata hitilafu mkoani Singida.

No comments:

Post a Comment