Pages

Wednesday, November 12, 2014

Samson Mwigamba atimuliwa uongozi ACT Tanzania ,Kitila Mkumbo apewa karipio kali

Katibu Mkuu wa ACT- Tanzania Samson Mwigamba amesimamishwa uongozi ndani ya chama hicho kwa tuhuma za ukiukwaji wa maadili,kuvunja katiba na ubadhirifu ndani ya chama hicho.
Taarifa kutoka ndani ya kikao cha Kamati kuu zinasema mbali na Mwigamba pia chama hicho kimetoa karipio kali kwa viongozi waandamizi wa

 
chama hicho Professor Kitila Mkumbo na Habib Mchange kwa tuhuma mbalimbali.
Ikumbukwe Samson Mwigamba,Prof Kitila Mkumbo na Zitto Kabwe walitimuliwa uongozi ndani ya CHADEMA mapema mwaka huu kwa tuhuma kama hizi na kusababisha kuanzisha chama cha ACT Tanzania.
Source:Mtanzania Jumatano

No comments:

Post a Comment