Pages

Friday, November 14, 2014

SKYLIGHT BAND NI MOTO WA KUOTEA MBALI WAZIDI KUWAPA RAHA MASHABIKI WAO KWA BURUDANI NZURI

 Pichani Kutoka kushoto ni Bela Kombo akiongoza mashambulizi ya jukwaa akipewa sapoti na Digna Mpera(katikati) na kwa mbaliiiii ni Aneth kushaba.
Kama kawaida yetu inapofika mwishoni yaani Ijumaa huwa inakuwa ni siku ya Furaha na kubadilishana mawazo paleee Thai Village Masaki.Kwenye Jukwaa Bendi yako matata na inayotikisa Tanzania na Jiji la Dar Skylight Band wanakuwa wanakupa burudani ya nguvu na iliyoenda shule.Karibu leo kuanzia saa 3 kamili usiku upate zile Afropop,Zouk,Lingala,sebene,Naija Na masong Teleeeee......
 Aneth Kushaba A.K.A(AK 47) Akizipiga vocal vya kutoshaaaa ili kuwapa burudani wapenzi wao ndani ya Thai Village
 Bella Kombo akitia madaha yake huku akiimba ndani ya Thai Village



 Wowww Ni kifaa kipya kwenye Skylight Band na Anaimba Bass vocal aiseee usiombe kusikia sauti yake yani roho yako itasuuzika anaitwa
 Digna Mpera(Mtoto Mzuri)akiimba kwa hisia kali kuwapa ladha wapenzi wa Skylight band ndani ya Thai Village
 Anaitwa Hashimu Donode mkali wao azipiga zile vocal kaliiii na tamuuu  kuwapa raha mashabiki wake ndani ya Thai village
 Wanamwita Tamu ya warembo au Sukari Sam Mapenzi akizipiga zile Vocal lainiii za taratibu kuwapa raha mashabiki wake ndani ya Thai Village
 Le Meneja Her Self Aneth Kushaba(AK 47)Akiongoza Skylight Divas  kuporomosha burudani ya nguvuuuu ndani ya Thai Village,Usikose raha hizi leo
 Muziki ni hisia na hapa ndicho anachokifanya Aneth kushaba hebu mtazame anavyoimba kwa hisia kali na Vitendo ili kuwapa raha mashabiki wake huku akipewa sapoti kwa mbaliiii na Digna Mpera(katikati) na Bela Kombo Wa mwisho kushoto
 Majembeeee(vijana wa kazi)wakilishambulia Jukwaa vilivyo
 Mikono kichwaniii,ahhh ahhhh majembe ya Skylight wakishambulia jukwaa kwa nguvuuuu
 Joniko Flower baba ya congo akiongoza kushambulia huku akipewa sapoti na Sony Masamba(katikati)
 Mtia ladhaa mahiri wa Skylight akiwa anasahangaa kupata Ukodak kutoka kwa mpiga picha wetu,Huku mpiga drums Idrisa akichunguliaaa kwa mbaliiiii
 Huyu jamaa ni muhimu sanaaa ndani ya Sklight Band anaitwa Daudi Tumba,akizipiga Tumba Zake lazima ufurahie
 Sam mapenzi(Wa kwanza kulia)akiimba kwa upoleeeee kabisaaaa huku akipewa sapoti na Aneth Kushaba(katikati)na Digna Mpera wa kwanza kushoto
 Yani weweee unanipaaa raahaaa sana ukiwa unaimbaaaa ni shabiki huyu akionyesha mapenzi ya kutoshaaaa kwa Hashimu Donode baada ya kukunwa na uimbaji wake
 Joniko Flower baba ya Congo akiongoza Vijana wake kushambulia jukwaaaa
 Sony masamba(katikati) akikamuaaaa sebeneee sebeneeee kwa nguvuu zoteeee
 Kama kawaida Skylight Band inavyowapenda mashabiki wake huwa kila Ijumaa shabiki anayesheherekea siku yake ya kuzaliwa hupewa nafasi ya kuimbiwa special Song na kusheherekea na mashabiki wake,Hahahaha si unaona Mwenyeweeee hapoooo
 Hapo sasa ni viuno,mabega,mikono inahusika kuweza kuyarudi
 Nyomiiiii la mashabikiiii wakifurahia muziki mzuriiiii
 Kama una furahaaa mikonooo juuuu Juuuuuuu
Kikuku huyoooooo.....ana maringooo huyoooo...kwioooo kwiooooo..... Iyo inaitwaga kikukuu ni staili yenye rahaaaaa na utamu unapochezeshwa na Skylight Band
 Hiyo staili inaitwaaa sugua suguaaa  achaaa ni hatariiiiiiiiii
 Mratibu wa Skylight Band Rubeya akishow Love na Mashabiki ndani ya Thai Village
 Sam Mapenzi akipata Ukodak na Shabiki wake
 Hashimu Donode akipata Ukodak na Mashabiki wake
Skylight band Divas wakifurahia kuapata Ukodak mbele ya kamera yetu

No comments:

Post a Comment