Pages

Wednesday, November 12, 2014

TAZAMA PICHA 7 ZA TEMBO HUYU MWENYE HASIRA KALI ALIVYO MTANDIKA KIBOKO

 Hivi unajua wewe kila siku nakuangalia tuu..... sasa leo nitakuonesha kazi ....... ni kama huyu Tembo alikuwa akiyasema maneno haya.
 nisamehe nakufaaa.".. ni kama Kiboko huyu alkuwa akimwambia Tembo amsamehe ..
 " Hapa kimenuka asije nigeuzia na mimi Kibao maana dah maza anapewa kichapo cha hatari" Ni kama mtoto Kiboko alikuwa akiondoka huku anatingisha kichwa.



 " Sasa nakwambia ondokaa fastaa ..... ukiendelea kubaki nakuanzishia kama mwanzo" Tembo huyu alionekana kama anamwambia Kiboko huyo.

 "Tena waambie na hao viboko wenzako nitawatandika ..... " alionekana kama anamwambia kiboko yule aliyekuwa akimpiga "Kimbieni nyiee ..... kimbieniiiii..... atawamaliza! !"
Hapa kichapo tuu......

Dah hiiii ilikuwa ni kashesheee.....

No comments:

Post a Comment