Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, November 7, 2014

TAZAMA PICHA ZA MSANII PROF J AKIFUNGUA MATAWI YA CHADEMA JIJINI DAR

Ilikuwa Juzi wakati msanii nguli wa Bongo Fleva Joseph Haule (Prof Jay) wakati akifungua matawi mapya na kuhamasisha wananchi wakijiandikisha 


kwenye daftari la makazi na kisha kuitumia vema HAKI yao ya kupiga KURA na kuwachagua viongozi wao kwa maendeleo yao!

!! Hamasisha na watu wako ili wajitambue na kujiandikisha! !!chanzo Dj Choka

No comments:

Post a Comment