Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, November 19, 2014

TRL YAPOKEA MABEHEWA 50 YA KUBEBA MAKONTENA, NI MKAKATI WA KUTEKELEZA BRN



Katibu Mkuu wizara ya Usafirishaji, Shaaban Mwinjaka, (Kushoto), akipokelewa na Mkurugenzi Mkuu wa TRL, Kipallo Amani Kisamfu, wakati akiwasikli bandarini jijini Dar es Salaam, leo Jumatano Nov 19, 2014, kupokea mabehewa 50 ya kubeba makontena. 
Moja kati ya mabehewa 50 ya kubebe makasha, likishushwa kutoka kwenye meli, bandarini jijini Dar es Salaam leo Jumatano Nov 19, 2014. Mabehewa hayo yataongeza utoaji huduma wa Kampuni ya reli Tanzania, (TRL), kutoka kutoa huduma za usafirishaji mizigo chini ya mpango wa matokeo makubwa sasa (BRN), alisema katibu mkuu wizara ya usafirishaji Shaaban Mwinjaka, wakati akipokea mabehewa hayo kutoka India.



Katibu Mkuu wizara ya Usafirishaji, Shaaban Mwinjaka, (Kulia), akikagua behewa moja kati ya 50 ya kampuni ya reli Tanzania, (TRL), yalipowasili jana. . Mabehewa hayo yataongeza utoaji huduma wa Kampuni ya reli Tanzania, (TRL), kutoka kutoa huduma za usafirishaji mizigo chini ya mpango wa matokeo makubwa sasa (BRN), alisema katibu mkuu wizara ya usafirishaji Shaaban Mwinjaka, wakati akipokea mabehewa hayo kutoka India
Mkuruhenzi Mkuu wa TRL, Kipallo Amani Kisamfu, akitoa hotuba fupi
Katibu Mkuu, wizara ya Usafirishaji, Shaaban Mwinjaka, akitoa hotuba yake
Alama zinazoonyesha tarehe mabehewa hayo yalipakiwa kutoka India kuja Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment