Pages

Tuesday, November 18, 2014

UNAJUA SALA ALIOFANYA MIKE SONKO KWAJILI YA WALIOWACHANIA NGUO WASICHANA

Jina la Mbunge wa Jimbo la Makadara Kenya, Mike Sonko sio jina geni, wengi tunamfahamu kutokana na vitu vingi ambavyo amekuwa akifanya ikiwa ni pamoja na aina ya maisha anayoishi na amekuwa akisifiwa kutokana na namna ambavyo amekuwa akiwajibika kwa wananchi wake anaowaongoza.
Stori kutoka Kenya ambayo imetawala vyombo vingi vya habari ni kuhusiana tukio la msichana kuchaniwa 


nguo na wanaume hadharani kutokana na kuvaa vibaya.

Ujumbe aliouandika Sonko kutokana na tukio ulianza na sala hii; “…. Namuomba Mungu awasamehe wanaume wanaowachania nguo wasichana.. Namuomba awaeleweshe wote kwamba wasichana wa karne ya 21 wako kidijitali sana na tofauti…

No comments:

Post a Comment