Pages

Sunday, November 23, 2014

VIDEO: POLISI NCHINI UGANDA YADHIBITISHA KUSHIKWA KWA BINTI WA NYUMBANI ALIYEKUWA ANAMTESA MTOTO

 
Pia mama wa mtoto amedhibitisha kuwa mtoto yuko mzima na  kukanusha baadhi ya vyombo mbalimbali vya habari vilivyotoa habari kuwa mtoto huyo amefariki. Tazama video hapa chini


No comments:

Post a Comment