Mwakilishi wa Tanzania katika shindano la Miss World 2014, Happiness Watimanywa ambaye tayari yupo jijini London, alipata nafasi ya kufanyiwa mahojiano na kipindi cha runinga cha BBC Swahili kilichoruka jana (Nov.18). Tazama akihojiwa na mshindi wa Tuzo za Watu, Saleem Kikeke.
MOROGORO WAITIKIA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
-
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa (Rufaa) Jacobs
Mwambegele akizungumza na wananchi wa Mtaa wa Nyuki Kata ya Lukobe wakati
alipok...
14 hours ago
No comments:
Post a Comment