Watu saba wamefariki Igunga, mkoani Tabora, ambapo wengi wamejeruhiwa baada ya
basi la Mohammed Trans lililokuwa
likitoka Mwanza kuelekea Dar es Salaam, kukatika 'steeering power' likaacha
njia na kupinduka.
Basi hilo
limepinduka leo majira ya saa nane mchana, ambapo maiti na majeruhi wamepelekwa
katika Hospitali ya Wilaya ya Igunga.
No comments:
Post a Comment