AJALI::BASI LA ZUBERI LAGONGANA USO KWA USO NA COSTA
Basi la Zuberi No. 3 Limegongana uso kwa uso na costa. costa limeharibika nyang'anyang'a. Hali hiyo ilipelekea waliokua kwenye magari mengine kushuka na kuokoa majeruhi. Ni Mbele kidogo ya singida mjini. Ajali hii imetokea jana
No comments:
Post a Comment