Bilionea wa Nigeria, Folorunsho Alakija amempiku Oprah
Winfrey kama mwanamke mweusi tajiri zaidi duniani kwa kuwa na utajiri wa dola
bilioni 7.3 kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na jarida la Ventures Africa.
Bilionea wa Nigeria, Folorunsho Alakija amempiku Oprah Winfrey kama mwanamke
mweusi tajiri zaidi duniani kwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 7.3 kwa mujibu
wa orodha iliyotolewa na jarida la Ventures Africa.
Oprah ana utajiri ufikao dola bilioni 2.9 kwa mujibu wa
Forbes. Hata hivyo orodha ya hivi karibuni ya Forbes ilionesha kuwa Alakija ana
utajiri wa dola bilioni 2.5.
Utajiri wa mwanamke huyo umetokana na biashara ya mafuta na
anamiliki visima vingi vya mafuta nchini Nigeria.
No comments:
Post a Comment