Lori la mafuta limekata tela lenye namba za usajili T 172ABT na kupibnduka jioni Ya jana katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela jijini Dar es Saam kwa kile kilichoelezwa na baadhi ya mashuhuda kuwa ni mwendo kasi aliyokuwa nao dereva wa lori hilo aliyekuwa akikata kona akitokea mjini Barabara ya Nyerere kwenda barabara ya Kawawa.
SHANTA MINING WAAHIDI KUENDELEA KULIPA KODI KWA HIARI
-
Uongozi wa Kampuni ya uchimbaji Madini ya Shanta Mining inayomiliki mgodi
wa Singida Gold Mining na New Luika umeahidi kuendelea kulipa Kodi kwa
hia...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment