Pages

Saturday, December 20, 2014

GARI LA MAFUTA LAPINDUKA MATAA YA VETA


Lori la mafuta limekata tela lenye namba za usajili T 172ABT na kupibnduka jioni Ya jana katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela jijini Dar es Saam kwa kile kilichoelezwa na baadhi ya mashuhuda kuwa ni mwendo kasi aliyokuwa nao dereva wa lori hilo aliyekuwa akikata kona akitokea mjini Barabara ya Nyerere kwenda barabara ya Kawawa.
Mafuta aina ya petroli yakimwagika


Polisi Usalama barabarani wakilinda eneo hilo

Tela hilo T 172ABT likiwa chini

No comments:

Post a Comment