Pages

Tuesday, December 2, 2014

HOT NEWSSS::RAIS KIKWETE AMUAPISHA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI


Rais Jakaya Mrisho kikwete akimuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 02, 2014

Rais Jakaya Mrisho kikwete akitia sahihi yake kwenye nyaraka baada ya kumuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 02, 2014

Rais Jakaya Mrisho kikwete akimkabidhi Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad nyaraka baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam
Novemba 02, 2014

Rais Jakaya Mrisho kikwete akimuangalia Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad akiweka sahihi yake kwenye nyaraka baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 02, 2014 




Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad na CAG Mstaafu Bw. Ludovick Utouh Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 02, 2014

Rais Jakaya Mrisho kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman, Spika Anne makinda na Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 02, 2014

Rais Jakaya Mrisho kikwete katika picha ya pamoja na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad na wafanyakazi wa ofisi ya CAG Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 02, 2014

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na familia ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 02, 2014

Chanzo:Ikulu

No comments:

Post a Comment