Pages

Sunday, December 7, 2014

ICHA ZA VIDEO SHOOT YA CHEGE NA MADEE NCHINI AFRIKA KUSINI CHINI YA ADAM JUMA

Chege na Madee in SA
Ukiacha Ali Kiba ambaye hivi karibuni alitufahamisha kuwa yuko Afrika kusini anafanya video ya Mwana Dar es salaam, wasanii wengine ambao wako na director Adam Juma South Africa wakifanya video ni Chege, Temba Na Madee.

Wasanii hawa wanafanya video ya wimbo waliorekodi na producer mkubwa Africa Kusini.

Chege na Madee in SA

Chege na Madee in SA

Chege na Madee in SA

No comments:

Post a Comment