Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, December 6, 2014

LWAKATARE WA CHADEMA ASHINDA KESI YA UGAIDI


MKURUGENZI wa Ulinzi na Usalama wa Chama Cha Maendeleo (Chadema) Taifa, Mhe. Wilfred Lwakatare  ameshinda kesi ya ugaidi iliyokuwa inamkabili. 
Kesi hiyo imeendeshwa katika Mahakama ya Rufaa Tanzania.

No comments:

Post a Comment