Mbunge Ester Matiko wa Tanzania akijiandaa kukimbia mbio za mita 400,ambapo aliwatimulia vumbi wabunge wenzake kutoka Kenya, Uganda na bunge la Afrika Mashariki (Eala).
Mkuu wa wilaya Arumeru Mhe Nyirembe Munasa afungua mashindano ya michezo kwa wabunge ambapo
aliwataka wachezaji kuacha kuamini imani za kishirikina na badala yake
wamtegemee Mungu kwani michezo ni kazi kama ajira nyingine
Mkurugenzi wa KeyMedia Agency Limited Bi Anna
Lazaro akiwa na wabunge wa Tanzania leo jijini Arusha katika mashindano
ya michezo mbalimbali yaliyoandaliwa na EALA(East African Legislative
Assembly).
No comments:
Post a Comment