Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Freeman Mbowe akihutubia katika mkutano
wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika katika viwanja Kata ya
Vijibweni Kigamboni jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
Umati wa watu wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe wakati wa mkutano wa kuwanadi wagombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kupitia UKAWA katika Kata ya Vijibweni Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Freeman Mbowe akihutubia katika mkutano
wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika katika viwanja Kata ya
Vijibweni Kigamboni jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
Umati
wa watu wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe wakati wa
mkutano wa kuwanadi wagombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kupitia UKAWA katika Kata ya Vijibweni Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Mbowe akiwanadi wagombea
No comments:
Post a Comment