Wabongo hawakosi cha kusema! Okay its true my fans nime wa
promise sana juu ya ngoma mpya, mom & dad tv show, then kimya kimekua
kingi! Ukweli wa ukimya wangu huu hapa!! Tangia nitoke bhits managers
wamejitokeza weng sana but kiukweli asilimia 90 yao niligundua wanataka
kunitumia tu....so mwisho siku nikaona bora mke wangu ndo awe Manager wangu coz
itani protect!! She is very good ...hard work,creative,hustler,respectful ana
kila sababu ya kua manager wangu! Hata baadhi ya wasanii wenzangu ambao
wanamfaham my wife wanajua hilo! So hizi ni rumors zinazo sambaa kua my wife
kanipoteza kwenye game! Ukweli ambao
sijawai usema nimeuficha kwa mda mrefu ni
huu wife wangu ameumwa mda mrefu sana ever since kajifungua my son hakua
sawa....then hali ikawa mbaya zaid five months ago! So I had to be there for
her,ilifikia stage nikahis I will loose her! I lost my mom nikiwa mdogo I
didn't want the same for my son....mda mwingi nimeutumia kumuuguza my wife na
kucheer na mtoto wangu!! Hapo awali nlikua napost picha za wife nikisema get
well soon na zingine nikiwa church!! Nlitumia mda wangu kuuguza na nikishinda
church kumuomba Mungu! So kazi zisingeweza kwenda hata kama ningekua Bhits au
ningekua na manager mwingine!! Nilificha nikasingizia vngine but coz lies n
rumors zmekua nyingi lemmi b open to my fans, now Mungu amejibu maombi yuko poa
sana! Kuna sister mmoja wa clouds mwaija alishuhudia my wife alivyoteseka!!
Wasaniii wenzangu wachache ambao ni friends wa wife, godzilla,young D,quick
racka, cyrill , hemed phd etc: wanajua lisa a.k.a mama teen ni creative
hustler, na kabla ya kua na mabeste alikua anafanya projects zake na hao artist
nilio wataja walikua waki mpa support!! Pia mtu mwenye akili zake akiangalia
interview yangu na Bhits ambayo iko YouTube utajua tuu she is more that!!
Events zangu zote wife ndo alizi plan! Behind every successful Men there is a
woman!! Nisiongee sana kapona acha tuone 2015! Mlio dhani mabeste kaishiwa mimi
mwenzenu ndo kwanza naanza safari.
No comments:
Post a Comment