Mvua ikiendelea kunyesha makutano ya Fire jijini Dar leo
Foleni likiwa limeshika kasi baada ya mvua kunyesha jijini Dar
Picha hapa chini zinaonesha baadhi ya maeneo ya Posta yakiwa yamejaa maji mpaka kupelekea msongamano kwa magari pia ilikuwa kero kwa waenda kwa miguu
No comments:
Post a Comment