Zari the Boslady hutumiamuda wake vizuri kipindi kam hiki
cha likizo kwa kuspend na watoto wake, kupitia ukurasa wake wa Facebook
Mwanamama huyo ambaye amejizolea umaarufu zaidi Bongo katika kile kinachoelezwa
kuwa anamahusiano ya karibu na Super Star wa BongoFlava Diamond Platnumz.
No comments:
Post a Comment