Matunda ya jitihada hizo yanaonekana, AFRIMA Awards 2014
zilizokuwa zikifanyika jana December 27 Lagos, Nigeria zimeonyesha dalili njema
ambapo Vanessa Mdee ‘Vee Money’ alifanikiwa kuibuka mshindi wa Tuzo ya Msanii
Bora wa Kike Afrika Mashariki, Diamond Platnumz akashinda Tuzo ya Msanii Bora
wa Kiume Afrika Mashariki, huku Tuzo ya Wimbo Bora wa Pop ikichukuliwa na
msanii Elani kutoka Kenya na Radio na Weasel kutoka Uganda wakipata Tuzo ya Wimbo
Bora wa Reggae.
Vee Money akiwa happy na tuzo yake.
No comments:
Post a Comment