Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, December 7, 2014

RAIS KIKWETE AENDELEA NA MAZOEZI IKULU

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazoezi katika viwanja vya Ikulu kufuatia ushauri wa madaktari waliomtaka afanye hivyo mara tatu kwa siku ili kuendelea kuimarisha afya yake baada ya kufanyiwa upasuaji mwezi uliopita katika hospitali ya Johns Hopkins nchini Marekani.

(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment